1. Tembelea washiriki nyumba kwa nyumba pamoja na kuwasiliana mtaani kukutana na wengine wapya. Weka umbali wa meta mbili kati yako na mwenzako. Kutana na kati ya waminifu wawili na kumi ambao wana wakati. Bado ya mikutano michache, wafunidishe kukutana na watu wengine pia. Wapewa msaada za simu na barua pepe wakati huu. Soma hapa. Mapokeaji masikini watahitaji utoaji wa chakula.
2. Kukaribisha washiriki wako kukuja kupata maombi ya wakati wao wenyewe. Inaweza kuwa na mchungaji ama shemasi
3. Unaweza panga mkutano na familia mbili , lakini kila familia iache nafasi ya meta mbili. Mikutano inaweza kupangwa wakati tofauti, kila siku kama itaweza. Andika maombi ya washikiri, watumishi, na wamishonari alafu ubandike orodha ya maombi ukutani. Wanaweza kuomba na kuongeza maombi kama wakiwaandike ama wakipiga mtuu wa kupewa maombi. Kama itaweza, boxi (sanduku?) ya WiFi inaweza kuwa ndani ya kanisa kwa hiyvo watu wa nje wanaweza kupata hotuba npya na vyombo vya habari vibilia kwa simu zake.
4. Unaweza kupanga tukio la njee na waabudu na mnache na nafasi ya meta mbili. Watu wanaweza kuwa njee kwa maombi, lakini wakae na nafasi tafadhali. 1

5. Usaidie washiriki kutengeneza ushirika ya maombi na matumizi ya huduma za simu.
6. Kama watu wanaweza kupata barua pepe ama SMS, unaweza kupanga maombi kama washiriki wote wanaweza kuskiliza mafaili ya mp3. Kufanya hii, pakia ile mp3 kwa tovuti yako au huduma flani ya kupakia mafaili kama SoundCloud.com ama Clyp.it.
7. Kama watu wana simu , basi unaeweza weka ujumbe uliohubiri katika microSD card ili waweze kusikiliza ama kutazama kila wiki. Baada ya kusikiliza ama kutazama , unaweza wapigia simu kila wiki wakati maalum kuzungumza zaidi kuhusu ujumbe na kuomba nao.
8. Kama watu wana CD player au Radio ya cassete , unaweza rekodi ukihubiri na utumane washiriki wapate huo ujumbe ama uwapatie za kitambo wasikilize. Pia unaweza pigia washirika simu kuzungumza zaidi kuhusu ujumbe na kuomba pamoja.
7. Himiza watu kwa familia kusoma bibilia na kuomba nyumbani.
8. Anzisha mikutano katika gari, kwenye watu wanokaa ndani ya magari zao na kusikiza spika za nje au radio.
9. Kama kanisa yako ni ya wazee wenye hawajui kutumia kompyuta, weka nambari ya simu ya kupiga, iwaisaidie kutuma ujumbe mfupi kwa simu. Hapa kuna chaguzi za makanisa zilizo na washirika wanao pambana na kuangali video kwa mtandao.
10. Weka simu ya mkutano. Endelea kutabiri wakati wa kawaida, kwa faida ya wale ambao hawawezi kupokea sasisho kwa urahisi. Mara tu unapojiandikisha kwa akaunti, itakupa nambari na nambari ya washiriki wa kanisa lako kupiga simu. Wakati wa hayo, mnaweza kushiriki mahubiri yenu na kisha kusali.
Kupata chaguzi za mikutano, angalia kuona ikiwa watoa huduma wakuu wa simu katika nchi yako wanapeana chaguzi za mikutano ya simu. Katika Utaftaji wa Google, chapa “simu za mkutano wa bure” na [jina la nchi yako], na utapata chaguzi zaidi. Au tumia Zoom au Uberconference, ambayo ina chaguo la kupiga simu na huduma yake ya utiririshaji wa video.
Kenya 1, 2, Tanzania 1 2, 3, Uganda 1, 2 Afrika Kusini 1 2 3 4, Ulaya 1, 2 Mataifa zaidi (1, 2)
11. Watoa huduma wengine wa simu wanaweza kutoa huduma za utangazaji wa sauti. Njia hii ya kupiga otomatiki inaruhusu watumiaji kutuma ujumbe wa ibada ya sauti kwa wapokeaji. Pia, makanisa ya tekinolojia ya teknolojia yanaweza kufanya programu ya Twilio ya kawaida (inayoweza kutumika katika nchi yoyote) kwa matangazo ya sauti.
Leave a Reply